Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongea nawananchi waliofika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, kupata hudumambalimbali zinazotolewa na idara hiyo.jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swalimwananchi aliyefika Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji kupata huduma.WaziriLugola yupo katika ziara ya kikazi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, akizungumza na Waziri waWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, aliyefika Idara yaUhamiaji,jijini Dar es Salaam,wakati wa ziara ya kikazi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala, akimkaribisha Waziri waWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola,aliyefika Idara yaUhamiaji,jijini Dar es Salaam,wakati wa ziara ya kikazi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINIWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.