ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 27, 2018

UHUSIANO BAINA YA RUSHWA NA AJALI ZA BARABARANI.GSENGOtV


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru mkoani Mwanza imewataka askari polisi mkoani hapa kufanya kazi kwa uadilifu ikiwa ni pamoja na kujiepusha na vitendo vya rushwa ili wananchi waendelee kuwa na imani na jeshi hilo kwa kufanya kazi zinazozingatia weledi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.