ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 4, 2018

POLISI MWANZA SHINYANGA WAANZA 'OPARESHENI NYAKUA' - MABASI 15 YANASWA.GSENGO tV
Zaidi ya magari 15 yakiwamo mabasi yanayofanya safari zake kati ya mwanza na shinyanga yamezuiwa kufanya safari zake baada ya kubainika kuwa na kasoro zinazoweza kuhatarisha usalama wa watuamiaji wa vyombo hivyo.

Magari hayo yamebainika  kufuatia  ukaguzi  uliofanywa  na vikosi vya usalama barabarani vya jeshi la polisi kutoka mikoa ya mwanza na shinyanga  ikiwa ni muendelezo kwa oparesheni ya jeshi la polisi ijulikanayo kama 'Oparesheni Nyakua'

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.