Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji waBinadamu, iliyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Adatus Magere, akizungumza nawakati wa kikao cha kujadili mikakati ya kupambana na biashara hiyo.Kikao hicho kimefanyikaUkumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi
Mshiriki wa Kikao cha Kujadili mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutokaShirika la Utangazaji Tanzani(TBC), Prudence Constantine, akichangia hoja wakati wa kikaohicho kilichofanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha naWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mshiriki wa Kikao cha Kujadili mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutokaJeshi la Polisi , ACP Rogathe Mlasani, akichangia hoja wakati wa kikao hicho kilichofanyikaUkumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia Masuala ya Ongezeko la Watu(UNFPA), Jacqueline Mahon, akizungumza wakati wa Kikao cha Kujadili mikakati yakupambana na biashara haramu ya binadamu wakati wa kikao kilichofanyika Ukumbi wa MakaoMakuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Msaidizi wa mwakilishi huyo, AnnaHolmstrom.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mshiriki wa Kikao cha Kujadili mikakati ya kupambana na biashara haramu ya binadamu kutokaVyombo vya Habari vya Azam,Yahya Mohamed , akichangia hoja wakati wa kikao hichokilichofanyika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha naWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.