Baada ya kimya kirefu jamaa ambaye ni mtangazaji at the same times yu-mwanamuziki Filbert Kabago kutoka jijini Mwanza hatimaye ameamua kurejea kunako medani za muziki akija na ngoma yake inayoitwa Tanzania.
Akimshiriisha mkali wa Reggae n Ragga, Hard Mard amesikika humo ndani akiing'arisha pia kiitikio cha wimbo huo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.