"Wananchi wa Kilwa wananunu maji ndoo shilingi 1000 kupeleka hospitali ya Wilaya ambayo haina maji, alafu nyinyi mnanunua ndege maskini ni bora tuuze ndege mbili tutatue tatizo la maji" Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara marufu kwa jina la Bwege.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.