Picha nyingine Balozi wa Uturuki nchini, Ali Davutoglu, mwishoni mwa wiki alishiriki chakula cha mchana na watoto wenye ualbino, ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Na kisha baadaye balozi huyo na ujumbe wa Taasisi ya Josephat Tornner Foundation Europe (JTFE) na Shirika la KCBRP aliongoza msafara wa watoto hao kwenda Uwanja wa Taifa, kushuhudia mtanange wa Timu za Simba na Yanga.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.