ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, April 18, 2018

PSPF YATOA MSAADA WA SARUJI 460 ILEMELA


MFUKO wa Pensheni wa PSPF umetoa msaada wa mifuko 460 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 7.3 kwa Taasisi ya Angeline Foundation ya Wilaya ya Ilemela kusaidia ujenzi wa vyumba vya madarasa, wodi za wanawake na wanaume kwa zahanati.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.