ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 19, 2018

DIAMOND AKIRI TCRA! "MIMI NI BINGWA WA KIKI ILA......"


Diamond Akiri TCRA! "Mimi ni Bingwa wa Kiki Ila.." Saa chache baada ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Nandy kuwasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania 'TCRA' kwa ajili ya kuhojiwa kuhusiana na video zao za utupu, wasanii hao wameomba radhi kwa watanzania na serikali kwa ujumla. Wakizungumza na waandishi wa habari Diamond amesema wamejifunza mengi kutokana na makosa waliyotenda na kuahidi kuwa watakuwa mabalozi wazuri wa kuwaelimisha wasanii wengine juu ya matumizi ya mitandao kwa kuzingatia maadili.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.