ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 6, 2018

HIZI HAPA MBINU ZA HARAKA ZITAKAZO BADILI MAISHA YAKO DR. SEBASTIAN NDEGE


Ni ukweli usiofichika ili uweze kubadili maisha yako na kuwa na mafanikio ya kiwango cha juu ni lazima ubadili tabia ulizonazo sasa na kuwa na tabia ambzo zitakuongoza kufikia mafanikio makubwa zaidi.

Unaweza usilione hili mapema lakini huu ndiyo ukweli.

Je unaamini zipo sababu zilizo kufanya uweze kufika hapo ulipo?

Yote tisa, ila kumi 'JITAMBUE'

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.