VIDEO/PICHA NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO TV
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amepokelewa kwa mabango na nyimbo za kudai huduma ya maji, Jimbo la Kwimba Mkoa wa Mwanza.
Kero nyingine aliyokumbana nayo ni, huduma mbovu za afya kwa baadhi ya maeneo, dhuruma za ardhi na wanafunzi kukaa chini darasani.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.