![]() |
Msanii wa kujitegemea akichangamsha Uwanja kabla ya michuano hiyo kuanza
|
![]() |
Kibamba Warious na Mpakani FC wakiwa tayari kwa mtanange
|
![]() |
MC akitangaza hatua mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa michuano hiyo
|
![]() |
| Wadau wa friends Of Tulia wakiwa kwenye michuano hiyo |
![]() |
| Mgeni rasmi akienda kukagua timu ili mpambano uanze |
![]() |
| Mgeni Rasmi akisalimiana na mwamuzi wa mechi hiyo |
![]() |
Mgeni rasmi akisalimia wachezaji wa timu ya Kibamba Warious
|
![]() |
Mgeni rasmi akiwa na baadhi ya viongzi baada ya kukagua timu
|
![]() |
| Timu zikiwa tayari kwa mpambano |
![]() |
Mmoja wa waraibu wa michuano hiyo Moreen akisoma risala
|
![]() |
Mwenyekiti wa Friends of Tulia akizungumza kabla ya mpambano kuanza
|
![]() |
| Wadau wa Friends of Tulia wakiwa kwenye michuano hiyo |
![]() |
| Wadau wa Friends Of Tulia |
![]() |
| Baadhi ya wadau wakiwa na wachezaji |
![]() |
| Mdau wa Friends of Tulia akiwa na baadhi ya wachezaji |
![]() |
Mgeni rasmi akijiandaa kupiga mpira kuanshiria mechi kuanza
|
![]() |
| Mgeni rasmi akiwa ameshapiga mpira |
![]() |
| Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na timu zote |
![]() |
| mpambano ukaanza |
![]() |
"vipi umenusurika?' refa akimuuliza mchezaji huku akimpapasa baada ya mchezaji wa timu ya Kibamba Warious baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji wa Mpakani FC
|
![]() |
Kipa wa Mpakani FC akiuangalia mpira wakati ukiingia kimiani kufuatia penati iliyopigwa na mchezaji wa Kibamba Warious kutokana na mchezaji wa timu hiyo kufanyiwa rafu katika eneo la hatari
|
![]() |
| Mpambano ukiwa umeiva |
![]() |
Mwandishi wa Uhuru FM akiwa na mmoja wa wasanii waliofika kutia chachandu michuano hiyo
|
![]() |
"Inaonekana naweza kuwa migapicha mzuri", mdau wa Friends Of Tulia akijaribu kupigapicha baadhi ya matukio kwenye michuano hiyo
|
![]() |
Wadau wakitazama picha zao katika Blog ya taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM Blog). PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
|
Tupe maoni yako





































0 comments:
Post a Comment