WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI, MHE LUHAGA MPINA AMEWAAMURU WAMILIKI WA VIWANDA VITANO VYA KUCHAKATA MINOFU YA SAMAKI VILIVYOKO JIJINI MWANZA KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 180 NDANI YA SAA 24 BAADA YA KUBAINIKA KUCHAKATA SAMAKI WASIORUHUSIWA
AKIWA KWENYE ZIARA MKOANI MWANZA WAZIRI MPINA AMESEMA VIWANDA HIVYO VIMEKIUKA SHERIA YA UVUVI NAMBA 22 YA MWAKA 2003 NA KANUNI ZAKE ZA MWAKA 2009 SAMBAMBA NA SHERIA YA USIMAMIZI WA MAZINGIRA NAMBA 20 YA MWAKA 2004.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.