mtendaji wa kata ya Ruaha Mbuyuni Maiko Chabili akiwafafanulia jambo wananchi wa kijiji wakati wa mkutano wa hadhara ulikuwa na lengo la kuwafukuza kamati ya mipango na fedha ya kijiji kwa matumizi mabaya ya pesa zao
Baadhi ya Wananchi
wa kijiji cha msosa kilichopo tarafa ya ruaha mbuyuni walihudhuria mkutano wa hadhara wa kijiji
Na Fredy Mgunda,Iringa.
Wananchi wa kijiji cha msosa kilichopo tarafa ya ruaha mbuyuni wameifukuza kamati ya mipango na fedha kwa tuhuma za kufanya ubadhilifu wa mali za kijiji na kuunda kamati mpya itakayoleta maendeleo katika kijiji hicho.

Wakizungumza
wakati wa mkutano wa hadhara ulifanyika katika kijiji hicho wanachi waliutaka
uongozi wa kamati hiyo kuachia ngazi kutokana na tuhuma zinazowakabili.
Kwa upande wake mtendaji wa kata MAIKO CHABILI
ameafiki kuvuliwa madaraka kwa viongozi wa kamati ya mipangano na fedha
kutokana na tuhuma zinazowakabili.
Hata
hivyo kamati ya mipango na fedha ya kijiji cha msosa walikubali kujiudhuru na
kulipa pesa ambazo ilibaini kuwa walizitumia vibaya bila ruhusa ya wananchi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.