Real Madrid vs Sevilla 5-0 - All Goals & Extended Highlights - La Liga 09/12/2017 HD
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika za 23 akimalizia pasi ya Marco Asensio na 31 kwa penalti katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga na kufikisha mabao 18 jumla msimu wa 2017-2018. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Nacho Fernandez dakika ya tatu and Toni Kroos dakika ya 38 na kinda wa miaka 19 Achraf Hakimi dakika ya 42. CHEKI KIDEO.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.