Ushindwe mwenyewe tu..... Kwani sasa tumekusogezea huduma zetu za vitu vitamu karibu na mlango wako, katikati ya jiji la Mwanza tunapatikana opposite New Mwanza Hotel na Kirumba tupate Rock City Mall ground floor, utaona nyayo zetu zikielekeza wapi tulipo @royalovenmwanza
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.