Kichapo walichopokea Simba Sports Club hivi majuzi kutoka kwa timu ya daraja la pili Green Warrious kimezua mengi ndani ya klabu hiyo ya mtaa wa Msimbazi, licha ya kutumika kama tiketi ya kumwondosha kocha wake mkuu Omog kichapo hicho kimebaki kama kidonda kwa mioyo ya mashabiki lia lia wa timu hiyo.
Mzee Muchacho yu mmoja kati ya mashabiki wenye vidonda ......
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.