NIMEANDIKA HATA KWENYE UKURASA WANGU WA INSTAGRAM
Kipekee nilipo pata bango la tangazo kwa wananchi wakazi wa Dar es salaam kujitokeza kupima afya kwaajili ya zoezi lijalo la afya nilipuuza, na kukejeli kwa hali ya Juu hatua hiyo, mmh....
Lakini sasa, kadri siku zinavyosonga ule mpango mkakati nashuhudia mbona unasonga na nuru kali inaangaza kunionyesha mbele kulivyo...?!!?. .
Daaaaah kweli #Wagenga walisema "usikatae wito, kataa...... "
TAARIFA za ujio wa ugeni wa meli yenye hospitali na madaktari zaidi ya 300 kutoka China nao watatoa tiba kwa wananchi wote waliopima na kugundulika kuwa na matatizo iwe yale sugu, makubwa hadi madogo. .
Big up RC @paulmakonda . CC:-@jembenijembe @gijegije @gsengoTv @jacquelineshuma @prince_nzwalla @mackjumanne @deejaykflip #mchakamchaka
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.