ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 6, 2017

MKUU WA MKOA WA MWANZA AGUSWA NA MAMA HUYU MLEMAVU ALIYEKUWA AKITENGENEZA KIPATO CHAKE KUPITIA BIASHARA YA KUUZA MAJI.

NA ZEPHANIA MANDIA WA G.SENGOBLOG TVSafari hii ya mkuu wa mkoa wa Mwanza JOHN MONGELA na baadhi ya watendaji wa Mamlaka ya maji safi  na usafi wa mazingira (MWAWASA)  katika mtaa MHANGO C  kata ya nyakato manispaa ya Ilemela kulipia bili ya maji ya VERONIKA MTIRO ambaye ni mlemavu baada ya kushindwa kulipa kwa miezi mitatu.


MONGELA anasema mama huyo alikuwa anajikimu kupitia maji hiyo hivyo ameamua kumlipia baada ya mama huyo kuomba msaada wa ofisi yake.

Veronica anasema changamoto hiyo imejitokeza baada ya kuumwa kwa muda wa miezi mitatu hivyo kushindwa kulipa bili ya maji laki moja na 39 kwa miezi mitatu ,na  aliyokuwa anauza maji kama njia ya kujipatia kipato sambamba na ufundi wa kuchomelea vyuma amabayo pia hana uwezo wa kununua vitendea kazi.Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.