ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 21, 2017

MCHAKATO TAMASHA LA SZIFF WAACHA VUMBI MWANZA.

 Mmoja wa waratibu wa Tuzo za Sinema Zetu 'Kichaka' akizungumza na kipindi cha Kazi na Ngoma ya radio Jembe Fm akifunguka mchakato wa kusaka vipaji ulivyopangwa. 

MCHAKATO WA TAMASHA LA SZIFF WAACHA VUMBI JIJINI MWANZA.
 
 Kikosi kazi cha Sinema Zetu kipo kimekuwa Jijini Mwanza kwa ajili ya kukutana na wadau wa filamu, ambapo kilifungua milango kwa kwa wadau hao wa Jiji la Mwanza kukutana nao siku ya ijumaa katika ukumbiwa CF Mayi Hotel na kujadili nao jinsi ya kuboresha kazi zao kuelekea tuzo za kimataifa za filamu#SZIFF
 Kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Kazi na Ngoma G. Sengo akiwa na wadau wa SZIFF Zamaradi na Babu Wambura.
 Kazi kazi na Kikosi Kazi.
 SZIFF wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Kazi na Ngoma Mansour Jumanne.
 Karibu tena.....Asante!
Mastori tyme.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.