ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 23, 2017

ANGELINA MABULA AGAWA VIFAA NA KUFUNGUA MASHINDANO YA MWANZA YOUTH BASKETBALL TOURNAMENT

Mwishoni mwa juma lililopita lilifanyika lile tamasha letu la mpira wa kikapu kwa watoto na vijana wenye umri chini ya miaka 14 & 16, wavulana kwa wasichana katika uwanja wa Kiloleli. Mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Ilemela ambaye pia ni Naibu wa Wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Dkt. Angeline Mabula. Mashindano yamefana sana.
Wasichana wakioneshana ubabe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.