Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kushoto) akiwa na
baadhi ya viongozi wakicheza pamoja na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha
Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances
Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya
Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017.
Picha Zote na Muhidin Sufiani
(MAFOTO MEDIA GROUP)
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Masebe Rungwe, wakicheza jukwaani wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Keifo Kyela, wakishambulia jukwaa wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana
Meza kuu

Mabalozi wa Tulia Trust wakijitambulia jukwaani
Baadhi ya Mabalozi wa Tulia Trust wakiwa uwanjani hapo wakifuatilia burudani
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Kanengwa, wakishambulia jukwaa wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana
Majaji
wa shindano la ngoma Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea jukwaani wakati wa Tamasha
hilo kwenye Uwanja wa Tandale, Tukuyu.
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Kanengwa, wakishambulia jukwaa wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana
Baadhi ya wageni waalikwa na wadau wa Tamasha hilo wakishuhudia burudani ya ngoma za asili jukwani katika Tamasha hilo.
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia
jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017.

wa kundi la kughani mashahiri ya Asili, Mwandurusa kutoka Kyela,
wakighani mashahiri yao jukwaani wakati wa Tamasha hilo.
Baadhi ya viongozi wakiwatunza wasanii baada ya kushuka jukwaani.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) akiwaongoza
baadhi ya viongozi na wadau kucheza Kwaito jukwaani wakati wa Tamasha
hilo.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia) akiwaongoza
baadhi ya viongozi na wadau kucheza Kwaito jukwaani wakati wa Tamasha
hilo.
Mwanadada maarufu wa kuchezea mpira,Hadhara Charles, akionyesha umahiri wake jukwaani wakati wa Tamasha hilo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akimtunza fedha mwanadada,
Hadhara Charles, maarufu wa kuchezea mpira,baada ya kuonyesha umahiri
wake jukwaani katika Tamasha hilo.
Wasanii
wa Kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakicheza ngoma yao
ya asili wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017.
Waratibu
wakimsindikiza msanii wa filamu nchini Senga, wakati akiwasili uwanjani
hapo na 'kuchafua hali ya hewa' baada ya kuanza kufuatwa na wananchi
kila alikopita kiasi cha kumzuia njia asipite kuingia eneo maalumu
waliloandaliwa wasanii wenzake.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.