ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 27, 2017

SIMBA SPORTS CLUB IMETOA MSIMAMO WAKE KUHUSU KOCHA MKUU WA TIMU HIYO.


MWANZA                                                    
SIMBA SPORTS CLUB imetoa msimamo wake kuhusu kocha mkuu wa klabu hiyo Mkenya Joseph Omong kwa madai ya baadhi ya mashabiki wanaodai kutoridhishwa ba mwenendo wa timu hiyo kwa namna anavyoipeleka kocha huyo mkuu.

Akiongea na waandishi wa habari mkoani Mwanza Afisa habari wa SIMBA SPORTS CLUB HAJI MANARA AMESEMA BADO WANA IMANI KUBWA NA KOCHA HUYO NA KWAMBA HAWANA MPANGO WOWOTE WA KUMUONDOA KATIKA KUIFUNDISHA TIMU HIYO

MANARA AMEONGEZA KUWA UKILINGANISHA NA MAKOCHA WALIOPITA OMONG BADO ANAENDELEA KUFANYA VIZURI

Aidha Manara amesema wana matumaini makubwa ya kushinda katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Stand United itakayochezwa jumamosi hii mjini Shinyanga.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.