ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, September 24, 2017

VIDEO:- MKUTANO WA LEMA NA NASSARI KWA WAANDISHI WA HABARI


 Mbunge wa Chadema wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameweka rehani ubunge wake baada ya Rais John Magufuli kumpokea aliyekuwa diwani wa chama hicho aliyejiuzulu akisema ni kwa sababu ya kuunga mkono juhudi za Rais. 

Nassari aliyasema hayo leo Jumapili na kudai ana ushahidi wa kielektroniki unaoonyesha madiwani hao walivyopewa rushwa ili wajiuzulu nafasi zao.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.