Tanzania
yaongoza ukuaji wa uchumi EAC, Wanakotoka wajumbe wa TZ timu ya
Makinikia, Serikali yajibu mapigo hoja za Chadema.
La
Saba waanza kuondolewa serikalini, Kipimo cha mkojo cha Wema chazua
mvutano Kortini, Mbowe aitonesha wizara ya viwanda kuhusu uwekezaji.
Pata kwa undani yaliyojiri katika magazeti ya leo hapa.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama
mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura
7,946...
0 comments:
Post a Comment