Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19
kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana
makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa
katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kikao hicho
kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar
es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya
Ndani na Elimu ya Uzalendo kutoka nchini Burundi,Pascal Barandagiye,
akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19 kinachoshirikisha Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi
Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana makubaliano juu ya Mpango wa
Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika makambi ya wakimbizi,
ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi
wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Mwakilishi wa Shirika
la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)
nchini Tanzania,Chansa Kapaya, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19
kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana
makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa
katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kikao hicho
kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar
es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akipitia nyaraka mbalimbali wakatiKikao cha 19
kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana
makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa
katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi,Harrison mseke.Kikao hicho kimefanyika leo
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba(watano kulia), Waziri wa Mambo ya Ndani na Elimu
ya Uzalendo kutoka nchini Burundi,Pascal Barandagiye,(wasita kulia), na
Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi
Duniani (UNHCR) nchini Tanzania,Chansa Kapaya(wanne kulia) wakiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kikao cha 19 kinachoshirikisha
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na Shirika la Kuhudumia
Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana makubaliano juu ya
Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika makambi ya
wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kikao hicho kimefanyika leo
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.