Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi maalum
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing, wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Hafla hiyo ilihudhuriwa na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, Naibu Spika Tulia Akson,
Mabalozi kadhaa wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Mawaziri Kadhaa,
Makatibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na Makatibu wa
Jumuia za Chama. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Balozi
wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akimshukuru Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana baada ya kupokea zawadi maluum, ambayo Kinana
alimzawadia wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo
kumuaga.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza kabla ya kumkabidhi zawadi maalum
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia), wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017.
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia) akiifungua zawadi hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia) akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing wakiinua glasi za vinwaji kabla ya kuzigonganisha kutakiana heri, wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge
Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za viwanywaji na
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing kumtakia heri, wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge
Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Balozi
wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akigonganisha glasi za vinywaji
na Spika wa Bunge Tulia Akson kutakiana her, wakati wa hafla ya
Chakula cha jioni kilichoandaliwa na katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana kumuaga
Balozi huyo, Upanga jijini Dar es Salaam, leo Agosti 27, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uratibu wa Bunge
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za kinywaji na Waziri Jenista Mhagama wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Balozi Lu na wapili kulia ni Naibu Spika Tulia Akson.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za kinywaji na Waziri Jenista Mhagama wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Balozi Lu na wapili kulia ni Naibu Spika Tulia Akson.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akigonganisha Glasi na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga wakati wa hafla hiyo.
Katibu
wa Jumuia ya wanawake Tanzania Amina Makilagi, Katibu wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM Idara ya Uchumi na Fedha Dk. Frank Hawassi na kaimu
Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka hamdu Shaka wakiwa na glasi za vinywaji vyao
wakati wa hafla hiyo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.