Ni ndani ya ziara ya JPM mkoani Mwanza na hapa alikuwa katikati ya Jiji baada ya kutua na ilikuwa kabla ya kuelekea uwanja wa Michezo Nyamagana ambako alikwenda kushuhudia shughuli za maboresho yaliyofanyika. BY @gsengoTV
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment