Imeelezwa kuwa watu hao walikuwa wakisafiri kwa kutumia gari aina ya TOYOTA RAV4 lenye namba za usajili T 795 DGD na kupata ajali ktk eneo la Kisolanza wilayani Iringa ktk barabara kuu ya Dar-Ruvuma.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa Bw Julius Mjengi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.