Jana Rais wa Chama Cha Wanasheria Nchi (TLS) Tundu Lissu amekosa Dhamana baada yakufikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka moja la Kutoa maneno ya Uchochezi.
Vigogo wengine ni Pamoja na Rais wa TFF Jamali Malinzi na wenzake, Rais wa Simba Evence Aveva na Mwenzake.
Boss wa IPTL Harbinder Sengh Seth na James Rugemalira, Harry Kitilya aliyekuwa Mkurugenzi wa TRA, Shose Sinare Aliyekuwa Miss Mwaka 1996.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.