Magufuli
aipa kibano Barrick, JPM: Wanaowatetea wezi mawakala wa shetani,
Polisi: Lissu hatoki, Migodi ya dhahabu hatarini kufungwa.
Leseni
za uchimbaji madini zasitishwa, Polisi wahaha na Lissu mchana kutwa,
JPM awataka Warundi kurejea nyumbani. Habarika na dondoo hizi za
magazeti hapa.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama
mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura
7,946...
0 comments:
Post a Comment