Gerard Pique akiifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 50 ikiilaza
3-2 Real Madrid katika mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa
Kimataifa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock mjini Miami,
Marekani. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Lionel Messi dakika ya
tatu na Ivan Rakitic dakika ya saba, wakati ya Real yamefungwa na Mateo
Kovacic dakika ya 14 na Marco Asensio dakika ya 36.
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.