Mshambuliaji wa
Yanga Chipukizi, Said Mussa, akijipinda kupiga shuti katikati ya mabeki
wa Tusker, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup,
katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha na Montage Ltd

Mshambuliaji wa Yanga Chipukizi, Said Mussa, akimtoka beki wa Tusker,
Corins SHivachi, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup,
katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha na Montage Ltd
Juma Mahadhi wa Yanga (kushoto) akichuana na beki wa Tusker, James
Situma, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, katika
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha na Montage Ltd
Yusuph Mhilu wa Yanga akimtoka beki wa Tusker
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.