Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim, watu wanne waliokuwa
wamejizatiti kwa bunduki za AK47 na bunduki moja ndogo wamefyatua
risasi ovyo wakilenga walinzi wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge
la Iran) ambapo mlinzi mmoja ameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa.
Hata hivyo shirika la habari la ISNA limenukuu mbunge mmoja wa Tehran, Elias Hazrati akisema kuwa hali hiyo imedhibitiwa na mvamizi mmoja ametiwa mbaroni.
Haram ya Imam Khomeini MA Wakati huohuo, shirika la habari la Fars limeripoti kuwa, mtu mmoja ameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya watu watatu waliobeba silaha kuvamia Haram ya Imam Khomeini MA, viungani mwa Tehran. Mmoja wa wavamizi hao ameuawa na maafisa usalama, mwingine ambaye anasemekana kuwa mwanamke amejiripua huku wa tatu akijeruhiwa na kukamatwa na vyombo vya usalama.

Duru za kiusalama zimeripoti kuwa, fulana lililosheheni mada za
miripuko la wavamizi hao katika Haram ya Imam Khomeini MA limepatikana
na kuharibiwa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.