Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana amepiga marufuku
uuzaji wa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama.
Taarifa
iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kwenda kwa
Makatibu Wakuu wa Jumuiya imeeleza kuwa kwa mwanachama yeyote
aliyeuziwa fomu arejeshewe pesa yake.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.