ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 16, 2017

WALIOTINGA SIMBA, KESHO MCHANA WANATINGA YANGA.

Klabu ya Yanga Mei 17, 2017 saa 6 mchana inatarajia kutilia saini kandarasi ya udhamini na Kampuni ya SportPesa. kama utakuwa na kumbukumbu sahihi kampuni ndio imeongia mkataba wa miaka 5 na Simba Sc kwa shilingi Bilioni 4.9, mkataba ambao umeibua mvurugano baina ya Viongozi wa klabu hiyo.hiyo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.