RC Mza. Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akiogea katika kikao
hicho cha TRA na Waandishi wa habari Jijini Mwanza, katika ukumbi wa
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Viongozi wa Tanzania Chamber of Commerce Mkoa wa Mwanza wakimsikiliza
Kamishna wa TRA nchini wakati wa kikao hicho na waandishi wa habari
Mkoani Mwanza.
Kamishna Mkuu wa TRA nchini,Charles Kichere, akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ( Picha zote na Ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Mwanza)
TRA Yatoa siku 39 kodi ya majengo iwe
imelipwa Mwanza.
Na Atley Kuni- Afisa habari Mwanza.
Mamlaka ya mapato nchini
imetoa muda hadi kufikia Juni 30, mwaka
huu wananchi wote wanaodaiwa kodi ya majengo kuhakikisha wanailipa kodi hiyo
ilikuepuka kufikishwa mahakamani na kutozwa faini.
Kauli
hiyo imetolewa na kamishina mkuu wa TRA nchini ndugu Charles Kichere, alipokuwa
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Jijini Mwanza hii leo.
“Mwisho
wa kulipa kodi ya majengo bila adhabu ni tarehe 30 Juni, 2017. Hivyo wenye
majengo yaliyopo katika Halmashauri ya
Jiji la Mwanza (Nyamagana), na Manispaa ya Ilemela wafike ofisi za TRA
zilizopo karibu nao kuchukua ankara zao endapo hawajazipokea kutoka kwa
viongozi wa serikali za mitaa yao au kujisajili
na kulipa kupitia benki yoyote ya biashara” alisema Kichere.
Kichere amefafanuakuwa kwa walioko sehemu ambazo nyumba
zimethaminishwa watalipa kiwango cha asilimia ya thamani ya jengo kama
inavyoonesha kwenye ankara zao na walioko maeneo ambayo hayajapimwa au kuthaminishwa
watalipa viwango maalum vilivyopitishwa na mabaraza ya madiwani na kutangazwa
na TRA kwenye vyombo vya habari.
Kichere amevitaja viwango hivyo vilivyopitishwa kuwa, ni shilingi za
kitanzania (20,000) kwa Jiji la Mwanza na kumi na tano elfu (15,000) kwa
Manispaa ya Ilemela.
TRA pia imepongeza
ushirikiano mkubwa inaoupata kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na safu yake
nzima ya uongozi ikiwemo Serikali za Mitaa husika. “Mhe mkuu wa Mkoa
ushirikiano huo umetuwezesha kutoa makadirio sahihi ya tozo, kutumia viwango
rafiki, kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji, Kutoa elimu kwa jamii,
kushughulikia pingamizi za kodi ya majengo kwa wakati na kuendelea kuimarisha
uthamini wa majengo” amesema Kichere.
Kwa Upande wake Mkuu wa mkoa
wa Mwanza, John Mongella, amesema katika kufikia adhma hiyo ya ukusanyaji
mapato, wakurugenzi wote wa Halmashauri za mkoa huo hawataruhusiwa kutoka nje
ya vituo vyao vya kazi hadi kuisha kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. “Ajenda
yetu kuu ni kukusanya Mapato, hivyo Ndugu kamishna mimi nikuthibitishie tu kuwa
kwa sasa, hatuta ruhusu Mkurugenzi atoke katika kituo chake cha kazi labda kama
amepata Msiba” amesema Mongella.
TRA Yatoa siku 39 kodi ya majengo iwe
imelipwa Mwanza.
Mamlaka ya mapato nchini
imetoa muda hadi kufikia Juni 30, mwaka huu
wananchi wote wanaodaiwa kodi ya majengo kuhakikisha wanailipa kodi hiyo
ilikuepuka kufikishwa mahakamani, kutozwa faini au vyote viwili.
Kauli
hiyo imetolewa na kamishina mkuu wa TRA nchini ndugu Charles Kichere, alipokuwa
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Jijini Mwanza hii leo.
“Mwisho
wa kulipa kodi ya majengo bila adhabu ni tarehe 30 Juni, 2017. Hivyo wenye
majengo yaliyopo katika Halmashauri ya
Jiji la Mwanza (Nyamagana), na Manispaa ya Ilemela wafike ofisi za TRA
zilizopo karibu nao kuchukua ankara zao endapo hawajazipokea kutoka kwa
viongozi wa serikali za mitaa yao au kujisajili
na kulipa kupitia benki yoyote ya biashara” alisema Kichere.
Kichere amefafanuakuwa kwa walioko sehemu ambazo nyumba
zimethaminishwa watalipa kiwango cha asilimia ya thamani ya jengo kama
inavyoonesha kwenye ankara zao na walioko maeneo ambayo hayajapimwa au
kuthaminishwa watalipa viwango maalum vilivyopitishwa na mabaraza ya madiwani
na kutangazwa na TRA kwenye vyombo vya habari.
Kichere amevitaja viwango hivyo vilivyopitishwa kuwa, ni shilingi za
kitanzania (20,000) kwa Jiji la Mwanza na kumi na tano elfu (15,000) kwa
Manispaa ya Ilemela.
TRA pia imepongeza
ushirikiano mkubwa inaoupata kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na safu yake
nzima ya uongozi ikiwemo Serikali za Mitaa husika. “Mhe mkuu wa Mkoa
ushirikiano huo umetuwezesha kutoa makadirio sahihi ya tozo, kutumia viwango
rafiki, kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji, Kutoa elimu kwa jamii,
kushughulikia pingamizi za kodi ya majengo kwa wakati na kuendelea kuimarisha
uthamini wa majengo” amesema Kichere.
Kwa Upande wake Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella,
amesema katika kufikia adhma hiyo ya ukusanyaji mapato, wakurugenzi wote wa
Halmashauri za mkoa huo hawataruhusiwa kutoka nje ya vituo vyao vya kazi hadi
kuisha kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. “Ajenda yetu kuu ni kukusanya Mapato,
hivyo Ndugu kamishna mimi nikuthibitishie tu kuwa kwa sasa, hatuta ruhusu
Mkurugenzi atoke katika kituo chake cha kazi labda kama amepata Msiba” amesema
Mongella TRA Yatoa siku 39 kodi ya majengo iwe imelipwa Mwanza.
Mamlaka ya mapato nchini
imetoa muda hadi kufikia Juni 30, mwaka
huu wananchi wote wanaodaiwa kodi ya majengo kuhakikisha wanailipa kodi hiyo
ilikuepuka kufikishwa mahakamani, kutozwa faini au vyote viwili.
Kauli
hiyo imetolewa na kamishina mkuu wa TRA nchini ndugu Charles Kichere, alipokuwa
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Jijini Mwanza hii leo.
“Mwisho
wa kulipa kodi ya majengo bila adhabu ni tarehe 30 Juni, 2017. Hivyo wenye
majengo yaliyopo katika Halmashauri ya
Jiji la Mwanza (Nyamagana), na Manispaa ya Ilemela wafike ofisi za TRA
zilizopo karibu nao kuchukua ankara zao endapo hawajazipokea kutoka kwa
viongozi wa serikali za mitaa yao au kujisajili
na kulipa kupitia benki yoyote ya biashara” alisema Kichere.
Kichere amefafanuakuwa kwa walioko sehemu ambazo nyumba
zimethaminishwa watalipa kiwango cha asilimia ya thamani ya jengo kama
inavyoonesha kwenye ankara zao na walioko maeneo ambayo hayajapimwa au
kuthaminishwa watalipa viwango maalum vilivyopitishwa na mabaraza ya madiwani
na kutangazwa na TRA kwenye vyombo vya habari.
Kichere amevitaja viwango hivyo vilivyopitishwa kuwa, ni shilingi za
kitanzania (20,000) kwa Jiji la Mwanza na kumi na tano elfu (15,000) kwa
Manispaa ya Ilemela.
TRA pia imepongeza
ushirikiano mkubwa inaoupata kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na safu yake
nzima ya uongozi ikiwemo Serikali za Mitaa husika. “Mhe mkuu wa Mkoa
ushirikiano huo umetuwezesha kutoa makadirio sahihi ya tozo, kutumia viwango
rafiki, kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji, Kutoa elimu kwa jamii,
kushughulikia pingamizi za kodi ya majengo kwa wakati na kuendelea kuimarisha
uthamini wa majengo” amesema Kichere.
Kwa Upande wake Mkuu wa mkoa
wa Mwanza, John Mongella, amesema katika kufikia adhma hiyo ya ukusanyaji
mapato, wakurugenzi wote wa Halmashauri za mkoa huo hawataruhusiwa kutoka nje
ya vituo vyao vya kazi hadi kuisha kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. “Ajenda
yetu kuu ni kukusanya Mapato, hivyo Ndugu kamishna mimi nikuthibitishie tu kuwa
kwa sasa, hatuta ruhusu Mkurugenzi atoke katika kituo chake cha kazi labda kama
amepata Msiba” amesema Mongella
Akijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kujua ni
kwa namna gani TRA inaweza kufanya ili kurahisisha mfumo wa malipo
kwakutumia mitandao ya simu, amesema wao kama TRA kila siku hupokea maoni ya
wadau ili kuboresha shughuli zao na kwa hali hiyo wanaona ni wazo jema.
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA, pamoja na majukumu yake
imeongezewa jukumu lakukusanya kodi za majengo ambapo mara
baada yakukusanya kodi hizo, zitatolewa taarifa, lakini pia zitapelekwa
kwenye Halmashauri husika kwa ajili ya shughuli za Maendeleo.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.