ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 1, 2017

PICHA 32 ZA HISTORIA MPYA YA MADAM FLORA NDANI YA LOCAL BEACH MWANZA

Mwanamuziki star wa muziki wa injili nchini Tanzania Flora Henry akiwa na mumewe mpya Daudi Kusekwa wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe ya harusi yao kwenye bustani mpya yenye hadhi jijini Mwanza Local Beach kwaajili ya kujumuika na ndugu jamaa na marafiki walioalikwa usiku wa jana ambapo pia kulikuwa na uzinduzi wa album yake mpya.
Safu ya mbele dadaz and sisters kwa harusi ya Daudi Kusekwa aliyemuoa Madam Flora baada ya kipindi kirefu cha upweke mara baada ya kuachana na mumewe Emmanuel Mbasha.
Shangwe za wapambe.
Hatariiii.
Stuaaaa mule mule.
Tumewaona .......safi.
EEeeeenh.
Mwenyekiti akitoa neno kwaajili ya kukata utepe.
Kwanchaaaaaa!!
Ilihitaji umakini sana kwa pozi kwani kila dakika ilikuwa na matumizi yake na kila tukio lilinaswa yaani ni Full ma-paparazi
Raha.....!
Cheza mpaka chini....!
Sasa ni zamu ya marafiki kuwamulika.
Hii inaitwa abiria chunga mzigo wako.....!!
Cake time....!
Wamependezaje....!
Nilishe nikulishe tuonyeshe ishara ya upendo.
Kila kona tukio lilinaswa simu ziko full charge.
Zuanga Selfie.
Bi. harusi Flora mara baada ya kukabidhi keki kwa mama wa David Kusekwa.
Aksante kijana kwa kutuletea .......
Shine shine.....ndani ya Local Beach Mwanza Tanzania.
Bwana harusi David Kusekwa hapa akikabidhi keki kwa wazazi wa Flora.
Mambo ya Champagne.
The muonekano.
Are you ok.
Bup......!!
Furahia utamu wake.
Maua .....
Another one.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.