Monday, May 01, 2017
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Ki-serikali mkoa wa Mwanza asubuhi ya leo wamefanya maandamano kutoka Uwanja wa Michezo Nyamagana hadi kwenye kusanyiko kuu uwanja wa CCM Kirumba ikiwa ni sehemu ya sherehe ya sikukuu za
wafanyakazi duniani ambazo kitaifa zinafanyika mkoani Kilimanjaro.
.
Mabango mbalimbali yamesoka yakiwa yameshikwa na kiini cha Kauli mbiu ya mwaka huu 'Uchumi wa Viwanda Uzingatie kulinda haki, heshima na Maslahi ya Wafanyakazi'
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.