Wakati taifa bado linakumbuka matukio mbali mbali likiwemo la ajali ya wanafunzi na kuzama kwa meli ya mv Bukoba, wazazi wawili wilayani Sengerema waliofahamika kwa majina Kayungilo baba wa mototo na mama Azizi mama wa mtoto wamejikuta mikononi mwa polisi baada ya tukio la mama huyo kumwacha mtoto Azizi kando ya barabara na kuondoka.
Akiongea na Jembe fm mama wa motto huyo amesema chanzo ni
kutokupewa mahitaji ya motto kutoka kwa baba wa motto huyo ambae ni bwana
Koyungilo.
MSIKILIZE Mama AZIZI.
Kwa upande wao mashuhuda wa tukio hilo wanesema kuwa baada
ya kuwaona wazazi hao wakizozana kwa buda barabarani hapo ndipo waliwaona
wakimweka mtoto Azizi kando ya barabara kumwacha na kumwakisha kuondoka na
ndipo walipomkamata na kutoa taarifa polisi kwa msaada zaidi.
SIKILIZA Mashuhuda
HABARI NA OSCAR KAHUKA JEMBE FM
SENGEREMA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.