Golikipa wa timu ya Yanga Deogratius Munis 'Dida' akisherehekea jukwaani na Bendi ya Super Kamanyola katika usiku wa Wana Yanga ulioandaliwa na Villa park Resort chini ya Udhamini wa TBL Kupitia kinywaji chake cha Castle Lite na Radio Jembe Fm Mwanza.
Bendi ya Super Kamanyola ilifanya yake kwa stage na hapa ni katika wimbo 'Young Afrika' moja kati ya nyimbo zilizobaki kumbukumbu ya mafanikio kwa klabu hiyo ya mtaa wa Jangwani jijini Dar es salaam.
Wachezaji wa timu Mabingwa wakiongozwa na Hassan Kessy (kushoto) katika Green Carpet ya usiku wa
Wana Yanga ulioandaliwa na Villa park Resort chini ya Udhamini wa TBL
Kupitia kinywaji chake cha Castle Lite na Radio Jembe Fm Mwanza.
Wachezaji wa Dar es Young Africans katika Green Carpet ya usiku wa
Wana Yanga ulioandaliwa na Villa park Resort chini ya Udhamini wa TBL
Kupitia kinywaji chake cha Castle Lite na Radio Jembe Fm Mwanza.
Mabalozi toka TBL
Kupitia kinywaji chake cha Castle Lite walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha huduma zinakuwa 'Proper ile Kibopa'.
Gsengo (L)na Simon Msuva (R)
Kutoka kipindi cha Sports Ripoti ya Jembe Fm ni Juma Ayoo akiwa na 'ua'
Deejay Jacko wa Hit Zone.
Juma Ayoo na Mboto.
Miamba imekutana Gsengo along side Yahya Mohamed.
Usiku wa kipekee kiongozi wa picha ni Vicent Bossou wa kwanza kushoto.
Super Kamanyola waliwasha moto kama ada yao....
Nyomi iliitika.
Mstari wa mbelena Super Kamanyola.
Watu na timu zao.
Salute..............
Jiografia ya neo la tukio.
Wakongwe wa Jiji la Miamba Mwanza.
Mr English na ua lake.
Mtangazaji wa Jembe Fm kipindi cha mishale ya jioni 'Drive Mix' MwakaD akiwa na ua lake.
The Crew in the house.
Misosi time.
Moja moja...
Kujisevia.
Mapochopocho na vya kukaanga.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Villa Park Resort Ramadhan, Isaac Muyenzwa Gamba na Juma Ayoo.
Aksante wana Mwanza, aksante kwa mashabiki wa burudani kwa kujitokeza kula 'BATA' nasi katika usiku wa
Wana Yanga kusherehekea Ubingwa wao, dhifa iliyoandaliwa na Villa park Resort chini ya Udhamini wa TBL
Kupitia kinywaji chake cha Castle Lite na Radio Jembe Fm Mwanza.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.