ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 14, 2017

KAMERA YA CHANNEL TEN IMEPAA ANGANI IMENASA MAFURIKO YALIYOIKUMBA TANGA.

Mvua kubwa iliyoesha kwa siku mbili mfululizo imesababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya wilaya za Tanga na Pangani baada ya daraja la Neema kusombwa na maji.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.