Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro, avalia njuga matukio ya uhalifu yanayoweka rehani amani ya nchini.
Awali IGP Sirro ametuma Salamu za kwa wahalifu na kuwapa neno la faraja
Wananchi wa Kibiti , Ikwiriri pamoja na Mkuranga na Rufiji.
IGP Sirro amekula kipao mbele ya suala la Mauji ya Raia kibiti na kuweka Dau kwa Wananchi watakao waonyesha wauaji wa Raia.
Ameweka mikakati ya kutokomeza uhalifu huo kwa kuanza kuongeza nguvu ya ziada kukabiriana na uhalifu huo.
Suala la Pili la ni Rushwa kwa Askari wa Jeshi la Polisi na kwamba
askari au mtumishi wa jeshi hilo akicjihusisha na Rushwa atachukuliwa
hatua za kisheria.
Suala la Mwisho ni kwamba kukomesha mauji yanayotokana na wananchi
kujichukulia sheria Mkononi (watu wenye asira kali) na kwamba
watachukuliwa hatua kali.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.