Wananchi mtaani si wanasema ......?
Si wanauliza....
Nani yuko nyuma ya haya yaliyo ya kipuuzi?
Ili maneno haya yanaigombanisha CCM na Wananchi nyie si mashahidi......?
Ili aitengenishe CCM na matendo ya wahuni wachache, wanaotumia dhamana waliyopewa kuumiza watu na kupoteza watu lazima tume iundwe. Nape anazungumza katika video hii.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.