Kupitia ukurasa wake wa Twitter Maulidi Kitenge ameandika hivi... "Kiba
na Diamond wameshindwa kuonesha uzalendo kwa Serengeti Boys wamegoma
kuimba wimbo wa hamasa licha kuwepo kamati ya hamasa.inasikitisha"
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.