ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 27, 2017

JAJI WARIOBA AJITOSA VITA DAWA ZA KULEVYA, SIASA ZA CHADEMA NA CCM ZILIVYOIZIKA BONGO MOVIE, KESI YA LEMA :- MAGAZETI YA LEO


Shein azushiwa jambo Zanzibar, Jaji Warioba ajitosa vita dawa za kulevya, Siasa za Chadema na CCM zilivyoizika Bongo movie. Pata kwa undani yaliyojiri katika magazeti ya leo hapa; https://youtu.be/IFPyovhPevw
                                                 
Wanaozaliwa njiti sasa waongezeka, Majaji 3 kuamua hatma ya Lema Arusha, Chadema wamuandalia sherehe Wema Sepetu. Habarika na dondoo za magazeti ya leo hapa;  https://youtu.be/UpVWh4oFqVI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.