MAHAKAMA ya Rufani ya Tanzania Chini ya Majaji (Luanda, Kipenka,
Mugasha, JJA) iliyokaa Arusha leo 27th February 2017 imetoa maelekezo ya
kesi inayomkabili mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema irudi kwenye
mahakama zenye dhamana ya kutoa dhamana.
Hakimu amesema hakuna hoja ya msingi kwa rufaa iliyokatwa na mawakili serikali.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.