Mapema leo alfajiri Gsengo BLOG ilifika kituo cha mabasi yaendayo mikoani kwenye eneo la Nyegezi na kushuhudia mama huyo akiwa unafuu mara baada ya kupata stahiki zake ikiwa ni pamoja na kupata tiketi za kusafiri yeye na familia yake kuelekea mkoani Dar es salaam.
![]() |
Elimu kwa madereva kutoka CHAKUWA. |
CHAMA CHA KUTETEA HAKI ZA WASAFIRI TANZANIA WAISHANGAA MWANZA KUTOKUWA NA UTARATIBU WA KUTOA TIKETI.
Mkurugenzi wa CHAKUWA Kanda ya Mashariki Wilson Sylvester amesema kuwa moja kati ya changamoto walizokuja kuzibainisha kwa wananchi kupitiaelimu wanayoitoa ni pamoja na abiria kujua wajibu wao pale panapotokea upandishwaji holela wa nauli, namba za simu na TIN namba kutokuwepo kwenye tiketi za abiria na pale ajali inapotokea nini haki za abiria. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.

Moja ya mabasi mkoani Mwanza na siti ya dereva. |
![]() |
Mazingira ya mbele kwa dereva. |
![]() |
Ndani. |
![]() |
Uchakavu wa viti vya basi na mzingira. |
![]() |
Air Jordan |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.