ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 29, 2017

VIDEO:- JINSI WATU 15 WALIOKUWA WAMEFUKIWA NA KIFUSI WAKIOKOLEWA WAKIWA HAI.

Tangu usiku wa saa 7 kuamkia Alhamisi wachimbaji hao wamekuwa chini ardhini wakishindwa kujua nini hatma yao baada ya udongo kutitia na kufunika sehemu ya tundu ambalo ndilo mlango wa kutokea shimoni humo.Wananchi wa kata ya Nyarugusu na Viunga vyake wamepongeza juhudi baada ya watu 15 waliokuwa wamefunikwa na kifusi cha udongo kwa siku 4 ndani ya Mgodi wa RZ kuokolewa wakiwa wazima.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.