Wana-Nyamagana tunayofuraha kupokea gari la wagonjwa wilaya ya Nyamagana litakalo punguza matatizo kwa karibu.
Aksante WHO kwa msaada na Serikali yetu baada ya kilio changu cha muda mfupi, na shukurani kwa waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu"
Na nyenzo zake muhimu. |
Mzigo umewasili. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.